Mashabiki wa soka mkae mkao wa kulaKwa mechi kubwa kati ya mabingwa soka Tanzania, itakayo chezwa jumapili julai 28.
Mechi hii itarushwa moja kwa moja kupitia Azam sport HD.
Wananchi watakuwa Afrikakusini kushiriki katika kombe la Toyota kukipiga na Amakhosi iliyochini wa kocha wa Zamani wa yanga Nassredine Nabi.