NANDY AAHIDI KUMZALIA BILLNASS WATOTO 10

 Msanii wa muziki wa kizazi kipya"The African princess Nandy Ameandika kwenye 

Page ya Instagram juu ya kumzalia Mume wake ambaye ni msanii Wa Kizazi kipya Billnass  Nanukuu

   👇👇

"Mume wangu miaka miwili ya ndoa yetu imekuwa fundisho kubwa kwangu kujua upendo ni kitu muhimu sana,uwepo wako umerasihisha maisha yangu na kipenzi chako NAYA jua tu tunakupenda sana. Nacho kuomba najua wanaume mmeumbiwa kupepesa macho japo sio mwanaume wangu

🤣😂joke, popote uendapo chochote unachokifanya jua unawatu wanakupenda na kukuhitaji sana..


Mungu wangu atulinde nitimize ahadi ya watoto 10 Nakupenda Py @billnass




Haya

 Je baby wako kakuahidi wangapi twende sehemu ya comment??

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post