▪️Mhe. Rais kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi waMajengo ya Kampasi Mpya ya Chuo Kikuu Mzumbe.
▪️Mhe Rais kusalimia Wananchi Round about ya Mikumi .
▪️Mhe. Rais kufungua Daraja la Ruaha na Barabara ya Kidatu-Ifakara (km 61).
▪️Mhe Rais kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Kiwanda cha Sukari Kilombero (K4) na kuzungumza na Wananchi.
▪️Mhe Rais kutembelea na kukagua Kituo cha Kupoza Umeme cha Ifakara.