WEKA JITIHADA HIZI UFANIKIWE KIRAHISI.

Jitihada ni jambo la msingi sana katika maisha ya mwanadamu. Hii kitu humfanya mtu kuweza kusonga mbele na kukabiliana na vipengele na nyanja zote za maisha. Pia humuwezesha mtu kuweza kufikia malengo yake kwa wakati na kuzidi kusonga mbele kimaendeleo kupitia kazi tofauti.

 Jitihada inahitaji mtu atakaeweza kuwekeza muda,maarifa pamoja na nguvu ili kuweza kufikia malengo husika na kuweza kupata maendeleo bora katika ngazi ya kifamilia na kijamii. 

Siku zote mtu mwenye jitihada huthaminika na kuheshimiwa na watu tofauti katika jamii inayomzunguka. Hakika jitihada ni muhimu sana katika kuimarisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii ya mwanadamu.




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post