Msanii wa Mwenye Kash kash zake Mjini Nasseb Abdul au kwa majina ya kimuziki *Diamond platnumz* amekutana Omary Nyembo alimaarufu kama (OMMY DIMPOZ)
LEO KWENYE PAGE YA INSTAGRAM MSANII DIAMOND PLATNUMZ AMEANDIKA Na Nukuu🌏🌍🌎
"REAL ONE SINCE DAY FUkin 1 !
Je Kuna Hit kali inapikwa hapa?
Toa maoni yako sehemu ya Comment