Huyu hapa Ni Msanii wa kizazi kipya Mc Baba kibao cha ngoma yake ni "OKO LELA EPA YA NANI" ngoma yenye mwezi mmoja toka itoke , imefumuka upya na kutikisa mitandao ya kijamii hivi karibuni Juni 2-7,2024
Kinachoshangaza umati ni uwezo wake wa kuflow bila kuzungumza chochote"Mc Baba"
KWANINI UNAJIFUNGIA NDANI NA UNA KIPAJI?
TOA COMMENTS AU MAONI MSANII GANI
BONGO AFANYE NAE COLLABO ILI NGOMA
YAO ITREND ZAIDI,,*?